Mchezo mmoja Leo wa ligi kuu Tanzania bara kupigwa mkoani Iringa Lipuli vs Azam fc


Lipuli fc ina mkaribisha Azam fc katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa 19 katika uwanja wa Samora ambao Lipuli fc ana tumia kama uwanja wa nyumbani mchezo huo utakua majira ya  saa 10:00 jion.

Lipuli anakutana na Azam Leo uku Lipuli akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mzunguko wa kwanza Kwa bao 1-0 pale Chamanz complex na kumfanya Azam kuibuka na alama tatu mhimu.

Michezo mitatu ya mwisho Lipuli ameonakana kufanya vizuri zaid ya Azam fc uku Lipuli akipoteza michezo miwili na kushinda mmoja lakin upande wa Azam fc yeye amepoteza michezo miwili na kusare moja  dhidi ya Kagera sugar na alio poteza ni dhid ya Simba sc na Yanga sc uku Lipuli akipoteza mbele ya Yanga sc na Ruvu shooting nakushinda dhidi ya Stand united.


<<<endelea Kua Kalibu na ezesports kwahabari za michezo na burudani>>>>

Comments

  1. Play Baccarat | Online casino for real money, win cash, and more
    We offer online gambling software for casino customers. Play Baccarat online or 인카지노 download the most popular 1xbet casino games on desktop worrione or mobile for

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Star's kuvaana na wa Algeria na DR Congo

Watakao cheza nusu final UEFA champions league kufahamika wiki hili