Watakao cheza nusu final UEFA champions league kufahamika wiki hili



Michuano ya UEFA champions league kuendelea sikumbili ndani ya juma hili michezo hiyo ita wakutanisha As Roma vs Barcelona ilihali Manchester city wakimkaribisha Liverpool ambapo mchezo ulopita Liverpool waliibuka washind baada ya kumfunga goli 3-0.

Michezo mingne ni Real Madrid ata mkaribisha Juventus na Bayern Munich aki mkaribisha Sevila matokeo ya Sevila na Bayern Munich wali toka 1-2 na Juventus na Real Madrid 0-3



Comments

Popular posts from this blog

Star's kuvaana na wa Algeria na DR Congo

Mchezo mmoja Leo wa ligi kuu Tanzania bara kupigwa mkoani Iringa Lipuli vs Azam fc