Posts

Watakao cheza nusu final UEFA champions league kufahamika wiki hili

Image
Michuano ya UEFA champions league kuendelea sikumbili ndani ya juma hili michezo hiyo ita wakutanisha As Roma vs Barcelona ilihali Manchester city wakimkaribisha Liverpool ambapo mchezo ulopita Liverpool waliibuka washind baada ya kumfunga goli 3-0. Michezo mingne ni Real Madrid ata mkaribisha Juventus na Bayern Munich aki mkaribisha Sevila matokeo ya Sevila na Bayern Munich wali toka 1-2 na Juventus na Real Madrid 0-3

UEFA Euro per league robo final hii apa

Image
Ratiba ya UEFA Euro per league hii apa gem gani una ona itakua ni ngumu apo 

Robo finally UEFA champions league hii apa

Image
Ratiba ya robo final ya UEFA champions league hii hapa Juventus vs Real Madrid Liverpool vs Manchester city nani ata pita Hata inayo fuata? Au kuingia nusu final

Star's kuvaana na wa Algeria na DR Congo

Image
Kikosi cha timu ya taifa Taifa star's kiki ongozwa na Mbwana SamattA Time ya taifa Taifa Star's inatarajia kuwa na michezo miwili ha kirafiki ndani ya mwezi march michezo hiyo inatarajiwz kucheza viwanja viwili tofauti ukiwepo uwanja wa taifa. Stars ina tarajia kuvaana na timu ya taifa ya Algeria mnamo tarehe 22 March mama huu mchezo utakao fanyika nchin Algeria baada yakumaliza mtanange huo star's wata rudi nyumbani kumalizia mchezo wa pili dhid ya DR Congo mnamo tarehe 27 March mwaka huu. Ikumbukwe kuwa michezo hii ita chezwa muda wa karenda ya FIFA swali ni je hiki ni kipimo tosha Kwa Taifa star's?. <<<endelea kuwa Kalibu na ezesports Kwa habari za michezo na burudani>>>

Manchester united vs Chelsea

Image
Baadhi ya nyota wa Manchester united wakifanya mazoezi. Aya sasa ukiskia mtoto hatumwi sokoni bado nileo ambapo mchezo uko subiliwa na macho ya wengi duniani kote utashi kasi jioni ya Leo hii katka uwanjan wa Old trafold. Kalibu ya Manchester united ina mkalibisha Chelsea the blues jion ya Leo saa 17:30 jion katka mwendelezo wa ligi kuu Uingereza Ali maarufu kam EPL kuelekea mchezo huo ni kwamba Manchester united ameonekana kua mdhaifu mbele ya Chelsea mala baada ya kushinda mchezo moja tuu kati ya michezo 14 wako kutana hapa karibuni Hatahivo vilabu hivi vimepishana alama 3 tuu Manchester united akiwa juu ya Chelsea je nani atainuka kidedea to a maoni yako <<<endelea kuwa Kalibu na ezesports Kwa habari za michezo na burudani>>>

EFL CUP Leo Arsenal vs Manchester City

Image
EFL CUP leo Finali ya EFL Cup kulindima Leo nchin Uingereza mnamo majira ya saa 19:30 usiku wa tarehe 25/2/2017 na mchezo huo una kutanisha vigogo wa soma pale Uingereza ni kat ya Arsenal na Manchester City. Macho na masikio ya wengi ya nataka kushuhudia nakusikia nn kitatokea kwenye mchezo huo na kuona he Manchester City ataendelea kutoa dozi na kuonekana ni timu isio zuilika pale Uingereza?. Licha ya uwezo wa makocha hawa Pepp Guadiola na Arsen Wenger kuonekana ni wa kiushindani lakin pia vikosi vyao pia vnaonekana kua naushindani mkubwa hii ni kutokana kua na wachezaji wenye ubora naviwango vya hali ya juu kwatimu zote mbili  Mimi maoni yako kuelekea mchezo huo na nani ata inuka mbabe wa mwenzake hii Leo. <<<endelea kisa Kalibu na ezesports Kwa habali za michezo na burudani>>>

Kuelekea mchezo wa UEFA kesho Chelsea vs Barcelona

Image
UEFA champions league kulindima viwanja viwili tofauti usiku wa kesho nchi mbili tofauti lakin macho ya wengi yana elekezwa nchini Uingereza tofaut na Ujerumani ambako mchezo moja utapigwa kati ya mabingwa wa nchi hiyo Baryen münchen na Besiktas ya Turkey. Chelsea fc anawakaribisha Fc Barcelona katika mchezo wa UEFA champions league apo kesho tarehe 20 mchezo huo utafanyika katika uwanja wa Stanford bridge uku Chelsea akiwa na rekodi nzuri zaidi kuliko Barcelona. Katika michezo 12 walio kutana Chelsea ameonekana mbabe Kwa Barcelona baada ya kushinda michezo 4 kutoa sare 5 na Barcelona akishinda Mara 3 tu uku wote wakiwa na idadi Sawa ya magoli 18. Hata hivo watu wamekosa imani na klabu ya Chelsea wakizani ina mwendelezo mbaya wa michezo yake lakin michezo mitano ya mwisho kabla ya mchezo huu ameshinda 4 na kupoteza 1 na nikwa mabao kuanzia 3 lakini upande wa Barcelona ameshinda michezo 3 na kusare 2 Kwa wastani wa mabao 2. Nyota wa mchezo huo ambao watu wanatarajia kuon