Posts

Showing posts from February, 2018

Manchester united vs Chelsea

Image
Baadhi ya nyota wa Manchester united wakifanya mazoezi. Aya sasa ukiskia mtoto hatumwi sokoni bado nileo ambapo mchezo uko subiliwa na macho ya wengi duniani kote utashi kasi jioni ya Leo hii katka uwanjan wa Old trafold. Kalibu ya Manchester united ina mkalibisha Chelsea the blues jion ya Leo saa 17:30 jion katka mwendelezo wa ligi kuu Uingereza Ali maarufu kam EPL kuelekea mchezo huo ni kwamba Manchester united ameonekana kua mdhaifu mbele ya Chelsea mala baada ya kushinda mchezo moja tuu kati ya michezo 14 wako kutana hapa karibuni Hatahivo vilabu hivi vimepishana alama 3 tuu Manchester united akiwa juu ya Chelsea je nani atainuka kidedea to a maoni yako <<<endelea kuwa Kalibu na ezesports Kwa habari za michezo na burudani>>>

EFL CUP Leo Arsenal vs Manchester City

Image
EFL CUP leo Finali ya EFL Cup kulindima Leo nchin Uingereza mnamo majira ya saa 19:30 usiku wa tarehe 25/2/2017 na mchezo huo una kutanisha vigogo wa soma pale Uingereza ni kat ya Arsenal na Manchester City. Macho na masikio ya wengi ya nataka kushuhudia nakusikia nn kitatokea kwenye mchezo huo na kuona he Manchester City ataendelea kutoa dozi na kuonekana ni timu isio zuilika pale Uingereza?. Licha ya uwezo wa makocha hawa Pepp Guadiola na Arsen Wenger kuonekana ni wa kiushindani lakin pia vikosi vyao pia vnaonekana kua naushindani mkubwa hii ni kutokana kua na wachezaji wenye ubora naviwango vya hali ya juu kwatimu zote mbili  Mimi maoni yako kuelekea mchezo huo na nani ata inuka mbabe wa mwenzake hii Leo. <<<endelea kisa Kalibu na ezesports Kwa habali za michezo na burudani>>>

Kuelekea mchezo wa UEFA kesho Chelsea vs Barcelona

Image
UEFA champions league kulindima viwanja viwili tofauti usiku wa kesho nchi mbili tofauti lakin macho ya wengi yana elekezwa nchini Uingereza tofaut na Ujerumani ambako mchezo moja utapigwa kati ya mabingwa wa nchi hiyo Baryen münchen na Besiktas ya Turkey. Chelsea fc anawakaribisha Fc Barcelona katika mchezo wa UEFA champions league apo kesho tarehe 20 mchezo huo utafanyika katika uwanja wa Stanford bridge uku Chelsea akiwa na rekodi nzuri zaidi kuliko Barcelona. Katika michezo 12 walio kutana Chelsea ameonekana mbabe Kwa Barcelona baada ya kushinda michezo 4 kutoa sare 5 na Barcelona akishinda Mara 3 tu uku wote wakiwa na idadi Sawa ya magoli 18. Hata hivo watu wamekosa imani na klabu ya Chelsea wakizani ina mwendelezo mbaya wa michezo yake lakin michezo mitano ya mwisho kabla ya mchezo huu ameshinda 4 na kupoteza 1 na nikwa mabao kuanzia 3 lakini upande wa Barcelona ameshinda michezo 3 na kusare 2 Kwa wastani wa mabao 2. Nyota wa mchezo huo ambao watu wanatarajia kuon

Ligi kuu Tanzania bara michezo miwili kulindima viwanjanini

Image
Kikosi cha Singida united  Ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa 19kuendelea lao hii viwanja viwili tofauti pale kaitaba ni Kagera sugar na Singida united majira ya saa kumi uku mchezo wa mapema zaidi ni kati ya Njombe mji na Majimaji fc kutoka Songea itakua majira ya saa nane mchana. Njombe mji wanaingia katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu za kupata sare mchezo ulio pita dhidi ya Mbeya city ili hali Majimaji fc anaingia kwenye mchezo huu akikumbuka kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Yanga hatahivo time hizo zinashika nafasi mbili za mwisho wakiwa na alama 14. Upande wa Singida united na Kagera wana ingia kwenye mchezo huo Kagera sugar akiwa na kumbukumbu ya kutoka safe na Azam fc ili hali Singida united akiwa na kumbukumbu ya kupotaza mchezo dhidi ya Stendi united Kwa bao 1-0

Lipuli fc atoa sare na Azam fc

Image
Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa 19 umemalizika hii Leo baada yatimu zote mbili kutunishiana mbavu nakufanya Lipuli fc na Azam Fc kutoka na alama moja na kumfanya Lipuli fc kupanda nafasi mbili kutoka nafasi ya Tisa had nafasi ya saba.                                                                                                          Mchezo huu ulikua nimchezo mziri na wenye mvuto wa a in a yake uku time zote zkipambana kwakiasi kikubwa lakini chakushangaza nikwamb klabu ya A,am walionekana kutawaliwa na  kiungo cha Lipuli fc huku kiungo cha Azam kilo ongozwa na Salmon hoza Stephan kingwe na Joseph mahundi.                                                                                               Baada yakupata sare hiyo ya mchezo wa Leo hii jahazi la Azam fc lazdi kuzama nakufanya mbio zakuwania ubingwa kua ngumu zaidi wakiwa nyuma ya alama saba dhidi ya yule anae ongoza ligi.                                                                              

Mchezo mmoja Leo wa ligi kuu Tanzania bara kupigwa mkoani Iringa Lipuli vs Azam fc

Image
Lipuli fc ina mkaribisha Azam fc katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa 19 katika uwanja wa Samora ambao Lipuli fc ana tumia kama uwanja wa nyumbani mchezo huo utakua majira ya  saa 10:00 jion. Lipuli anakutana na Azam Leo uku Lipuli akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mzunguko wa kwanza Kwa bao 1-0 pale Chamanz complex na kumfanya Azam kuibuka na alama tatu mhimu. Michezo mitatu ya mwisho Lipuli ameonakana kufanya vizuri zaid ya Azam fc uku Lipuli akipoteza michezo miwili na kushinda mmoja lakin upande wa Azam fc yeye amepoteza michezo miwili na kusare moja  dhidi ya Kagera sugar na alio poteza ni dhid ya Simba sc na Yanga sc uku Lipuli akipoteza mbele ya Yanga sc na Ruvu shooting nakushinda dhidi ya Stand united. <<<endelea Kua Kalibu na ezesports kwahabari za michezo na burudani>>>>

Kikosi cha Simba cha teteleka Leo dhidi ya Mwadui fc

Image
Hatimeye wekundu wa msimbazi Simba sc wapigwa stop na mwadui fc baada ya kuku Bali sare ya 2-2 huku walio maliza mchezo huo ni John boco na Emmanuel Okwi  akipata goli Kwa mkwaju wa penalt huku magoli ya mwadui yali pachikwa na Paul Nonga na Luhende akipiga Kwa njia ya faulo Katika mchezo huo Luhende alikua na mchezo mzuri sana Kwa upande wake uku Kichuya akiendeleza umahili wake wa kutengeneza mabao hatahivo Simba yaendelsa kuongoza msimamo wa ligi kuu Tanzania bara Kwa alama 42 juu ya Yanga sc akiwa na alama 37 >>>>Endelea kua na ezesport Kwa habari za michezo na burudan>>>>

Cristiano Ronaldo aweka rekodi nyingne UEFA

Image
Cristiano Ronaldo aendelea kuweka rekodi kwa upande wa michuano ya UEFA Champions league baada ya kufanikiwa kuipatia ushindi mnono timu yake ya Real Madrid nakufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Paris Saint German (PSG). Hapo jana Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuipatia ushindi klabu ya Real Madrid na kuweka rekodia yake binafsi kuwa mchezaji wenye magoli 100 ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya akiwa kwenye klabu moja ya Real Madrid. Lakini katika mchezo wa jana pia kunawachezaji walikua kwenye kiwango bora wa klabu ya Real Madrid akiwemo Marcelo na Asensio hata hivo wachezaji wa PSG hawakua kwenye ubora uliodhaniwa na watu wengi kulingana na ubora wao wasiku za nyuma pamoja na majina yao kuwa makubwa kwa ujumla. >>>Endelea kuwa karibu na Eze Sports kwa Habari za Michezo na Burudani