Kikosi cha Simba cha teteleka Leo dhidi ya Mwadui fc


Hatimeye wekundu wa msimbazi Simba sc wapigwa stop na mwadui fc baada ya kuku Bali sare ya 2-2 huku walio maliza mchezo huo ni John boco na Emmanuel Okwi  akipata goli Kwa mkwaju wa penalt huku magoli ya mwadui yali pachikwa na Paul Nonga na Luhende akipiga Kwa njia ya faulo

Katika mchezo huo Luhende alikua na mchezo mzuri sana Kwa upande wake uku Kichuya akiendeleza umahili wake wa kutengeneza mabao hatahivo Simba yaendelsa kuongoza msimamo wa ligi kuu Tanzania bara Kwa alama 42 juu ya Yanga sc akiwa na alama 37


>>>>Endelea kua na ezesport Kwa habari za michezo na burudan>>>>

Comments

Popular posts from this blog

Star's kuvaana na wa Algeria na DR Congo

Watakao cheza nusu final UEFA champions league kufahamika wiki hili