Cristiano Ronaldo aweka rekodi nyingne UEFA


Cristiano Ronaldo aendelea kuweka rekodi kwa upande wa michuano ya UEFA Champions league baada ya kufanikiwa kuipatia ushindi mnono timu yake ya Real Madrid nakufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Paris Saint German (PSG).

Hapo jana Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuipatia ushindi klabu ya Real Madrid na kuweka rekodia yake binafsi kuwa mchezaji wenye magoli 100 ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya akiwa kwenye klabu moja ya Real Madrid.

Lakini katika mchezo wa jana pia kunawachezaji walikua kwenye kiwango bora wa klabu ya Real Madrid akiwemo Marcelo na Asensio hata hivo wachezaji wa PSG hawakua kwenye ubora uliodhaniwa na watu wengi kulingana na ubora wao wasiku za nyuma pamoja na majina yao kuwa makubwa kwa ujumla.

>>>Endelea kuwa karibu na Eze Sports kwa Habari za Michezo na Burudani

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Star's kuvaana na wa Algeria na DR Congo

Watakao cheza nusu final UEFA champions league kufahamika wiki hili