EFL CUP Leo Arsenal vs Manchester City


EFL CUP leo

Finali ya EFL Cup kulindima Leo nchin Uingereza mnamo majira ya saa 19:30 usiku wa tarehe 25/2/2017 na mchezo huo una kutanisha vigogo wa soma pale Uingereza ni kat ya Arsenal na Manchester City.

Macho na masikio ya wengi ya nataka kushuhudia nakusikia nn kitatokea kwenye mchezo huo na kuona he Manchester City ataendelea kutoa dozi na kuonekana ni timu isio zuilika pale Uingereza?.

Licha ya uwezo wa makocha hawa Pepp Guadiola na Arsen Wenger kuonekana ni wa kiushindani lakin pia vikosi vyao pia vnaonekana kua naushindani mkubwa hii ni kutokana kua na wachezaji wenye ubora naviwango vya hali ya juu kwatimu zote mbili

 Mimi maoni yako kuelekea mchezo huo na nani ata inuka mbabe wa mwenzake hii Leo.

<<<endelea kisa Kalibu na ezesports Kwa habali za michezo na burudani>>>

Comments

Popular posts from this blog

Star's kuvaana na wa Algeria na DR Congo

Watakao cheza nusu final UEFA champions league kufahamika wiki hili