Ligi kuu Tanzania bara michezo miwili kulindima viwanjanini


Kikosi cha Singida united 

Ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa 19kuendelea lao hii viwanja viwili tofauti pale kaitaba ni Kagera sugar na Singida united majira ya saa kumi uku mchezo wa mapema zaidi ni kati ya Njombe mji na Majimaji fc kutoka Songea itakua majira ya saa nane mchana.

Njombe mji wanaingia katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu za kupata sare mchezo ulio pita dhidi ya Mbeya city ili hali Majimaji fc anaingia kwenye mchezo huu akikumbuka kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Yanga hatahivo time hizo zinashika nafasi mbili za mwisho wakiwa na alama 14.

Upande wa Singida united na Kagera wana ingia kwenye mchezo huo Kagera sugar akiwa na kumbukumbu ya kutoka safe na Azam fc ili hali Singida united akiwa na kumbukumbu ya kupotaza mchezo dhidi ya Stendi united Kwa bao 1-0

Comments

Popular posts from this blog

Star's kuvaana na wa Algeria na DR Congo

Watakao cheza nusu final UEFA champions league kufahamika wiki hili