Manchester united vs Chelsea

Baadhi ya nyota wa Manchester united wakifanya mazoezi.

Aya sasa ukiskia mtoto hatumwi sokoni bado nileo ambapo mchezo uko subiliwa na macho ya wengi duniani kote utashi kasi jioni ya Leo hii katka uwanjan wa Old trafold.

Kalibu ya Manchester united ina mkalibisha Chelsea the blues jion ya Leo saa 17:30 jion katka mwendelezo wa ligi kuu Uingereza Ali maarufu kam EPL kuelekea mchezo huo ni kwamba Manchester united ameonekana kua mdhaifu mbele ya Chelsea mala baada ya kushinda mchezo moja tuu kati ya michezo 14 wako kutana hapa karibuni

Hatahivo vilabu hivi vimepishana alama 3 tuu Manchester united akiwa juu ya Chelsea je nani atainuka kidedea to a maoni yako

<<<endelea kuwa Kalibu na ezesports Kwa habari za michezo na burudani>>>

Comments

Popular posts from this blog

Watakao cheza nusu final UEFA champions league kufahamika wiki hili

Mchezo mmoja Leo wa ligi kuu Tanzania bara kupigwa mkoani Iringa Lipuli vs Azam fc