Ratiba ya robo final ya UEFA champions league hii hapa Juventus vs Real Madrid Liverpool vs Manchester city nani ata pita Hata inayo fuata? Au kuingia nusu final
Michuano ya UEFA champions league kuendelea sikumbili ndani ya juma hili michezo hiyo ita wakutanisha As Roma vs Barcelona ilihali Manchester city wakimkaribisha Liverpool ambapo mchezo ulopita Liverpool waliibuka washind baada ya kumfunga goli 3-0. Michezo mingne ni Real Madrid ata mkaribisha Juventus na Bayern Munich aki mkaribisha Sevila matokeo ya Sevila na Bayern Munich wali toka 1-2 na Juventus na Real Madrid 0-3
Cristiano Ronaldo aendelea kuweka rekodi kwa upande wa michuano ya UEFA Champions league baada ya kufanikiwa kuipatia ushindi mnono timu yake ya Real Madrid nakufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Paris Saint German (PSG). Hapo jana Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuipatia ushindi klabu ya Real Madrid na kuweka rekodia yake binafsi kuwa mchezaji wenye magoli 100 ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya akiwa kwenye klabu moja ya Real Madrid. Lakini katika mchezo wa jana pia kunawachezaji walikua kwenye kiwango bora wa klabu ya Real Madrid akiwemo Marcelo na Asensio hata hivo wachezaji wa PSG hawakua kwenye ubora uliodhaniwa na watu wengi kulingana na ubora wao wasiku za nyuma pamoja na majina yao kuwa makubwa kwa ujumla. >>>Endelea kuwa karibu na Eze Sports kwa Habari za Michezo na Burudani
Comments
Post a Comment