Posts

Ligi kuu Tanzania bara michezo miwili kulindima viwanjanini

Image
Kikosi cha Singida united  Ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa 19kuendelea lao hii viwanja viwili tofauti pale kaitaba ni Kagera sugar na Singida united majira ya saa kumi uku mchezo wa mapema zaidi ni kati ya Njombe mji na Majimaji fc kutoka Songea itakua majira ya saa nane mchana. Njombe mji wanaingia katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu za kupata sare mchezo ulio pita dhidi ya Mbeya city ili hali Majimaji fc anaingia kwenye mchezo huu akikumbuka kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Yanga hatahivo time hizo zinashika nafasi mbili za mwisho wakiwa na alama 14. Upande wa Singida united na Kagera wana ingia kwenye mchezo huo Kagera sugar akiwa na kumbukumbu ya kutoka safe na Azam fc ili hali Singida united akiwa na kumbukumbu ya kupotaza mchezo dhidi ya Stendi united Kwa bao 1-0

Lipuli fc atoa sare na Azam fc

Image
Mchezo wa ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa 19 umemalizika hii Leo baada yatimu zote mbili kutunishiana mbavu nakufanya Lipuli fc na Azam Fc kutoka na alama moja na kumfanya Lipuli fc kupanda nafasi mbili kutoka nafasi ya Tisa had nafasi ya saba.                                                                                                          Mchezo huu ulikua nimchezo mziri na wenye mvuto wa a in a yake uku time zote zkipambana kwakiasi kikubwa lakini chakushangaza nikwamb klabu ya A,am walionekana kutawaliwa na  kiungo cha Lipuli fc huku kiungo cha Azam kilo ongozwa na Salmon hoza Stephan kingwe na Joseph mahundi.                         ...

Mchezo mmoja Leo wa ligi kuu Tanzania bara kupigwa mkoani Iringa Lipuli vs Azam fc

Image
Lipuli fc ina mkaribisha Azam fc katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa 19 katika uwanja wa Samora ambao Lipuli fc ana tumia kama uwanja wa nyumbani mchezo huo utakua majira ya  saa 10:00 jion. Lipuli anakutana na Azam Leo uku Lipuli akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mzunguko wa kwanza Kwa bao 1-0 pale Chamanz complex na kumfanya Azam kuibuka na alama tatu mhimu. Michezo mitatu ya mwisho Lipuli ameonakana kufanya vizuri zaid ya Azam fc uku Lipuli akipoteza michezo miwili na kushinda mmoja lakin upande wa Azam fc yeye amepoteza michezo miwili na kusare moja  dhidi ya Kagera sugar na alio poteza ni dhid ya Simba sc na Yanga sc uku Lipuli akipoteza mbele ya Yanga sc na Ruvu shooting nakushinda dhidi ya Stand united. <<<endelea Kua Kalibu na ezesports kwahabari za michezo na burudani>>>>

Kikosi cha Simba cha teteleka Leo dhidi ya Mwadui fc

Image
Hatimeye wekundu wa msimbazi Simba sc wapigwa stop na mwadui fc baada ya kuku Bali sare ya 2-2 huku walio maliza mchezo huo ni John boco na Emmanuel Okwi  akipata goli Kwa mkwaju wa penalt huku magoli ya mwadui yali pachikwa na Paul Nonga na Luhende akipiga Kwa njia ya faulo Katika mchezo huo Luhende alikua na mchezo mzuri sana Kwa upande wake uku Kichuya akiendeleza umahili wake wa kutengeneza mabao hatahivo Simba yaendelsa kuongoza msimamo wa ligi kuu Tanzania bara Kwa alama 42 juu ya Yanga sc akiwa na alama 37 >>>>Endelea kua na ezesport Kwa habari za michezo na burudan>>>>

Cristiano Ronaldo aweka rekodi nyingne UEFA

Image
Cristiano Ronaldo aendelea kuweka rekodi kwa upande wa michuano ya UEFA Champions league baada ya kufanikiwa kuipatia ushindi mnono timu yake ya Real Madrid nakufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Paris Saint German (PSG). Hapo jana Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuipatia ushindi klabu ya Real Madrid na kuweka rekodia yake binafsi kuwa mchezaji wenye magoli 100 ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya akiwa kwenye klabu moja ya Real Madrid. Lakini katika mchezo wa jana pia kunawachezaji walikua kwenye kiwango bora wa klabu ya Real Madrid akiwemo Marcelo na Asensio hata hivo wachezaji wa PSG hawakua kwenye ubora uliodhaniwa na watu wengi kulingana na ubora wao wasiku za nyuma pamoja na majina yao kuwa makubwa kwa ujumla. >>>Endelea kuwa karibu na Eze Sports kwa Habari za Michezo na Burudani